PRINCESS YA WOLPER KUTOKA HIVI KARIBUNI

Akizungumza jijini Dar es
Salaam, Wolper alisema yupo katika hatua za mwisho za uandaaji wa kazi hiyo
ambayo anamini itakuwa gumzo mtaani kutokana na stori ambayo ameielezea ndani
yake.
Alisema
anawaomba wadau wa kazi zake wakae mkao wa kula kwaajili ya kazi hiyo ambayo
anatarajia kuisambaza hivi karibuni.
“Namshukuru mungu maandalizi
ya kazi yangu yameenda vizuri na hadi sasa ndio namalizia kazi hii, wapenzi wa
kazi zangu wake vizuri kwaajili ya kuipokea kazi hii ambayo imefuata maadili ya
mtoto wa kitanzania,” alisema Wolper.
Alisema
yeye ni Mtanzania hivyo ameamua kufanya kitu ambacho kipo katika jamii
inayomzunguka na kuelimisha kwa uwezo aliokuwa nao yeye.
No comments:
Post a Comment