Kocha wa Ghana amemuondoa Andre Ayew katika kikosi chake
kitakacho shiriki katika michuano ya ACN nchini Afrika Kusini, baada ya kukosa
kufika kambini kama ilivyokuwa imetarajiwa. Kocha wa Ghana amesema hakuwa na
budi kumuacha nje mchezaji huyo ila na jambo la kusikitisha.
No comments:
Post a Comment