Waziri wa Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo Dk Fenella Mkangalla Kikosi Cha Timu ya Twiga Stars Kinayotarajiwa Kucheza Mchezo wa Marudiano na Timu ya Ethiopiia.
Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mkangalla
akisalimiana na mmoja wa Kamanda wa kikosi cha Jeshi la kujenga Taifa
cha Ruvu JKT wakati alipokwenda kutembelea kikosi cha Timu ya Tiwiga
Stars kinayotarajiwa kucheza mchezo wa marudiano na timu ya Ethiopiia.
Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mkangalla
akisalimiana na Kaimu Kamanda wa Kambi ya Kikosi cha Jeshi la Kujenga
Taifa (JKT) cha Ruvu Meja Alex Kakwaya.

Kulia kwake ni Kaimu Kamanda wa Kambi
ya Kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) cha Ruvu Meja Alex Kakwaya
na kushoto kwake ni Luteni Rhoda Matonya.

Dkt. Fenela Mkangalla akiteta
jambo na Kaimu Kamanda wa Kambi ya Kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa
(JKT) cha Ruvu Meja Alex Kakwaya wakati alipokwenda kutembelea kikosi
cha Timu ya Twiga Stars kinachotarajiwa kucheza mchezo wa marudiano na
timu ya Ethiopiia.
Kaimu
Kamanda wa Kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa cha Ruvu (JKT ) Meja Alex
Kakwaya akijaribu kuongea jambo na Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo
Bi. Juliana Yassoda wakati ugeni wa Wizara ulipokwenda kutembelea
kikosi cha Timu ya Twiga Stars kilichopo mazoezini kujiandaa na mchezo
wa marudiano na timu ya Ethiopia kwenye kambi ya Kikosi cha Ruvu JKT.
Baadhi ya Wachezaji wa Kikosi cha Timu ya Taifa ya Twiga Stars
wakimsikiliza Mheshiiwa Dkt Fenella Mkangala wakati alipowatembelewa
kwenye kambi ya Kikosi cha Kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa Ruvu JKT
jana
No comments:
Post a Comment