
Taarifa ambazo zimetufikia muda si mrefu uliopita zinapasha kwamba Mwanasiasa mkongwe nchini,mwanasheria na miongoni mwa waasisi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), Bob Makani, amefariki jioni hii katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar-es-salaam.Mwenyezi Mungu aipumzishe roho yake mahali pema peponi.
Tutaendelea kuwaleteeni habari zaidi kadiri tunavyozidi kuzipata.
No comments:
Post a Comment