coming soon

coming soon

Sunday, June 17, 2012



HATIMAE P SQUARE KUACHIA GOMA JIPIA AMBALO WAMEMSHIRIKISHA RICK ROSS AKA THE BIG BOSS

Saturday, June 9, 2012

                                             LAND ROVER DISCOVERY V8 INAUZWA

                                       Bei maelewano we mwenyewe uta furahi, kwa mawasiliano za wasiliana     
                                                     nami kupitia namba hii.. 0716368789.
                                             




Mrembo huyo ni  Miss Akuot Philip Suzan (20)  mwenye urefu wa futi 6.1 anaekaa Juba, Sudan  ni mwanamitindo nchini humo na anatarajia kujiunga na Chuo Kikuu Cha Makerere Nchini Uganda mwaka huu.
Warembo ambao tayari wameshapatikana kutoka katika Nchi mbalimbali kwa ajili ya mashindano hayo ni mwakilishi wa Eritrea: Miss Rahwa Afeworki (22), kutoka Ethiopia ni: Miss Lula Teklehaimanot (19) na Miss Ayisha Nagudi (23) ambae ni mwakilishi wa Uganda.
Nchi zilizobaki zinaendelea kutafuta wawakilishi watakaoziwakilisha Nchi zao katika mashindano ya Miss East Africa 2012 ambayo yatazishirikisha Nchi 16 za ukanda huu ambazo ni Tanzania (wenyeji), Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi. Nchi zingine ni Southern Sudan, Somalia, Djibouti, Eritrea, Ethiopia pamoja na visiwa vya Mauritius, Madagascar, Comoros, Reunion na Seychelles.
Mashindano ya Miss East Africa ndio mashindano makubwa ya urembo kwa ukanda huu wa Africa.
Fainali za mashindano ya Miss East Africa ambazo huandaliwa na kumilikiwa na Kampuni ya Rena Events Ltd, zitafanyika tarehe 07 mwezi September mwaka huu jijini Dar es salaam, Tanzania

Taarifa ambazo zimetufikia muda si mrefu uliopita zinapasha kwamba Mwanasiasa mkongwe nchini,mwanasheria na miongoni mwa waasisi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), Bob Makani, amefariki jioni hii katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar-es-salaam.Mwenyezi Mungu aipumzishe roho yake mahali pema peponi.
Tutaendelea kuwaleteeni habari zaidi kadiri tunavyozidi kuzipata.