asubuhi ya leo kumevuma uzushi ya kwamba jackie chan umefaliki . uzushi huo ulianza jumanne usiku katika mitandao ya facebook na twitter. jackie chan ni mzima wa afya na kumekua hakuna muendelezo wowote wa habari hiyo katika facebook na twitter. sio mara ya kwanza kwa jackie chan kuzushiwa kwani hata mwezi machi pia alizushiwa kufaliki.
No comments:
Post a Comment