coming soon

coming soon

Wednesday, August 17, 2011

jackie chan kuzushiwa kufa

asubuhi ya leo kumevuma  uzushi ya kwamba jackie chan umefaliki . uzushi huo ulianza jumanne usiku katika mitandao ya facebook na twitter. jackie chan ni mzima wa afya na kumekua hakuna muendelezo wowote wa habari hiyo katika facebook na twitter. sio mara ya kwanza kwa jackie chan kuzushiwa kwani hata mwezi machi pia alizushiwa kufaliki.

Tuesday, August 16, 2011

“SPEAK WITH YA BODY”-AY Ft.LAMYIA & ROMEO

Ngoma kali ya AY & LAMYA & ROMEO tayari washaiachia

MAMBO YA JUMA NATURE na LIL KIM

Nature akiwa amekumbatia mtoto, It was one of the best SHOW kiukweli.. The combination ya LIL KIM na NATURE was the Best kwa uliekuja Fiesta utahakikisha hilo!!!
Lil kim akiwa na dancers wake...

Aliingia kwa style hii kabla hajatoa hako kamtandio ka-pink na kubaki kama anavyoonekana kwenye picha nyingine!!
Saaaaaaafi... Lil Kim alimmind sana kijana wetu na nyimbo zake.. kwa taarifa niliyokuwa nayo ni kwamba mwanadada ameondoka na COLLECTION kibao ya nyimbo za nature so huenda tutasikia lolote, just keep on waiting huenda kukatokea ka-collabo fulani kati ya LIL KIM na JUMA NATURE kiroboto... WANAUMEEEEEE!!!!

HEMED NA YUSUPH MLELA WAZIDUNDA KIUKWELI

Hii si story ya movie ila ni ukweli kabisa imetokea wakati wa kushoot filamu ya WILLIAM MTITU ambapo vijana hao walijikuta wakizichapa.

Awali watu hawa walikuwa ndani ya BEEF zito sana na baadae wakaja kupatana na kukutanishwa katika filamu moja lakini katika hali isiyotegemewa wamejikuta wakizidunda mbele za watu (WAKIPIGANA)