USIKU WA KOFFI OLOMIDE NDANI YA LEADERS CLUB
Mashabiki wa mwanamziki Kofii Olomide wakishangilia kwa furaha wakati mwanamuziki Kofii Olomide akiimba jukwaani.

Kofii Olomide akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya
bia ya Serengeti Bw. Steve Gannon wa pili kutoka kushoto na Mkurugenzi
wa Masoko Bw. Ephraim Mafuru pamoja na wafanyakazi wengine.
koffi Olomide akionyesha vitu vyake kwenye stage baada ya kuwasili ndani ya viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.
Wanenguaji wa mwanamuziki Kofii Olomide wakimwaga mauno jukwaani usiku wa kuamkia leo.
Hapo
Mkurugenzi wa Cloud media group Bw.Joseph Kusaga akiongea machache jana
baada ya Koffi Olomide kutoa burudani ya uhakika kwa mashabiki wa
muziki wa dance.
Mashabiki wa muziki wa dance wakionyesha mambo yao baada ya Koffi Olomide kupanda jukwaani.
Koffi Olomide akifanya vitu vyake katika jukwaani.
Mwimbaji wa Koffi Olomide maarufu kama Cindy akiimba kwa hisia baada ya Koffi Olomide kumtambulisha kwa mashabiki wa Dance
No comments:
Post a Comment