CCM MKOA WA ILALA WAICHANGIA TWIGA STARS 26,000
CHAMA cha mapinduzi (CCM) mkoa wa Ilala
kimeichangia timu ya taifa ya Wanawake 'Twiga Stars' kiasi cha shilingi 26,000
ikiwa ni mchango wake dhidi ya timu hiyo inayojiandaa na mechi yake ya marudiano
ya Kombe la Afrika kwa Wanawake (AWC) dhidi ya Namibia inayotarajiwa kupigwa
Jumapili katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
CCM
wameungana na wadau wengine ambao wamehamasika kuichangia timu hiyo ili iweze
kufanya vema katika mchezo huo
No comments:
Post a Comment