Hatimaye video ya wimbo Party Zone kutoka kwa AY akiwa amemshirikisha Marco Chali(producer
ambaye siku hizi anaanza kuja juu kwa utundu mwingine ndani ya muziki)
imetoka.Inasemekana kuwa mojawapo ya video za gharama kubwa kabisa
zilizowahi kufanyika miongoni mwa wasanii wetu
Waziri
wa mambo ya ndani ya nchi Dkt Emanuel Nchimbi amesema kuwa kati
ya abiria zaidi ya 250 walikuwemo katika meli hiyo tayari abiria
124 wameokolewa wakiwa hai na jitihada za uokoaji zinaendelea japo
kuna utata zaidi juu ya idadi ya watu waliopoteza maisha kwani
mitandao ya kijamii inaripoti kuwa ni watu zaidi ya 60 wamepoteza
maisha ila waziri amedai ni watu saba pekee.